Hii ni aina ya ya picha ilio badilishwa ,yani kutoka kwenye mwili
wakawaida na kuwa na mwili wa Cartoon kwa muonekano tofauti wa
kiualisia. Je, utaitaji kujua au kujifunza Graphics design?
Usiogope kwa uwezo wa kawaida huwa tunaona ni vigumu lakini ni lahisi mno! kama-
utapenda kujua na kufaham kiundani zaidi
Tafadhari wasiliana nami kwa namba & social network zifuatazo ,-
Facebook,- Meshack casper haule
Whatsapp,-+255 714620255
Instagram,-meshackhaule7
Kupitia mawasiliano hayo tunaweza kufanya ukatenda visivyo wezekana na
kuonekana kwa muonekano tifauti
kalibu tujifunze kwa kukuza upeo wa kufikili zaidi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni